Askofu Mkuu
Elinafika H. Mziray
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini
TanzaniaBodi ya Wadhamini na wachungaji wanaoliongoza kanisa.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini
Tanzania
Katibu wa Bodi ya Wadhamini
Tanzania
CFC Kibamba
Kibamba – UbungoKanisa linasimamiwa na Bodi ya Wadhamini yenye wajumbe kati ya 2 na 10, ikiongozwa na Mwenyekiti (Askofu Mkuu), Katibu (Makamu Askofu Mkuu) na Mweka Hazina. Bodi ndicho chombo cha juu kinachosimamia mali za kanisa, na huteuliwa na Mkutano Mkuu.
Kwa mujibu wa katiba, Mwenyekiti wa Bodi ni Askofu Mkuu na Katibu ni Makamu Askofu Mkuu. Muda wa uongozi ni miaka mitano, na kiongozi aliyemaliza muda anaweza kuteuliwa tena.